PAPA FRANCIS AANGUKA NCHINI POLAND.

Kiongozi mkuu wa kanisa la katoliki duniani Papa Francis mwenye umri wa miaka 79 amedondoka chini pindi alipokuwa akitembea kuelekea mahala ambapo angeendesha misa kwa wakatoliki mijini Czestochwa nchini Poland.
 
Kwa mujibu wa Daily Mail, Papa Francis anasumbuliwa na ugonjwa unaojulikana kama Sciatica, ugonjwa ambao wakati mwingine hushusha maumivu ya ghafla kwenye miguu kutoka mgongoni.








































No comments

Powered by Blogger.