MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU NGULI WA MUZIKI WA HIP HOP FID Q.
Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa kwa msanii wa HipHop nchini Fareed kubanda a.k.a Fid Q sio mbaya ukamtakia kila la kheri katika kazi yake ya mziki na mungu ampe maisha marefu kama mimi nilivyoanza.
No comments:
Post a Comment