ZAKWETU INFO
Habari Mchanganyiko
Saturday, September 24, 2016
USIPITWE NA MAGOLI YALIYOFUNGWA NA MANCHESTER UNITED DHIDI YA LEICESTER CITY YOTE NIMEKUWEKEA HAPA.
›
CUF WATOA MSIMAMO WAO KUFUATIA UHAMUZI WA MSAJILI WA VYAMA KUWA PROF.LIPUMBA BADO NI MWENYEKITI
›
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kimepokea kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vy...
SOMA HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO.
›
PPF KUENDELEA KUHAKIKI WASTAAFU,WAJA NA WOTE SCHEME.
›
Wafanyakazi wa Mfuko wa hifadhi ya jamii wakiwa katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo ili kuongea na waandishi wa Habari,ambapo wa kw...
Friday, September 23, 2016
LOWASSA AFIKA BUKOBA KUWAJULIA HALI WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI.
›
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, leo amewasili Bukoba mkoani Kagera kuwatembelea ...
BONGO FLEVA NA BONGO MOVIE KUKIPIGA UWANJA WA TAIFA ILI KUWACHANGIA WAHANGA WA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA.
›
Wasanii wa Bongo fleva na movie waungana katika kuchangia wahanga wa Tetemeko la Ardhi lililotokea Bukoba mkoani Kagera. Wakitoa taar...
Thursday, September 22, 2016
BODI YA UHURU MEDIA GROUP YAJIUZULU,OLE SENDEKA AWEKA WAZI TAARIFA HIYO.
›
Bodi ya Uhuru Media Group inayosimamia vyombo vya habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambavyo ni Uhuru Publications Limited (UPL)...
AL SHABAB WAKIRI KUHUSIKA NA SHAMBULIO LA KITUO CHA POLISI NCHINI KENYA.
›
Kundi la wapiganaji wa alshabab limekiri kuhusika na shambulio la kituo cha polisi kaskazini mwa Kenya karibu na mpaka na Somalia. Baad...
JESHI LA POLISI LAONDOA ZUIO LA MIKUTANO YA NDANI YA VYAMA VYA SIASA.
›
JESHI la Polisi nchini limeondoa katazo lake la mikutano ya ndani kwa vyama vya siasa kuanzia leo. Ambapo vyama hivyo vitaruhusiwa kufa...
BARCELONA WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA ATLETICO WAKIWA CAMP NOU.
›
Klabu ya Barcelona ya nchini hispania jana ililazimishwa sare na Atletico de Madrid ya nchini humo katika mchezo uliopigwa Camp nou. ...
Wednesday, September 21, 2016
MADEREVA WA TANZANIA WALIOTEKWA KONGO WAREJEA NCHINI.
›
Vilio vya furaha kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki, vimetawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar...
›
Home
View web version