SIMBA YAINYOOSHA AFC LEOPARDS.

Katika siku ya Simba Day leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,Simba sc ilikuwa ikicheza na Afc leopards toka kenya na matokeo ndio kama unavyoyaona hapo chini.
https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-0/p480x480/13935108_620929358066083_5095802218003154930_n.png?oh=d2d84ec85ac29d2a51cc9c5421b8a7b6&oe=585AB850

wafungaji magoli yote.

Ibrahim Ajib 2
Shiza   1
Mavugo 1



     Baadhi ya wachezaji wa timu ya simba wakisujudu baada ya goli la Ibrahimu Ajibu.


   Wachezaji wa simba wakishangilia uwanjani.


Mh.mkuu wa mkoa,Paul makonda ambaye alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hii,pichani akiwa na baadhi ya wazee na viongozi wa klabu hiyo kubwa hapa Tanzania ambapo timu hiyo pia inatimiza miaka 80.

No comments

Powered by Blogger.